Ahsante sana kiongozi kwa ufafanuzi wako, so hawa jamaa wapo wapi ? Maana nikionana nao itakuwa vizuri sanaUkipata Bulldozer ni muafaka kwa kazi hiyo ya kung'oa visiki,bei kwa 8hrs ilikuwa around 1,000,000/=mafuta juu yako.(Dude linabugia sana mafuta pia inategemea ukubwa wa dozer) lakini kwa Ekari 25 mnaweza ku negotiate.Kwa uzoefu mdogo nilio nao ukipata dozer(D8) ukampatia "motisha"operator hiyo ni kazi ya siku 2.
Okey, so unanishauri nitafute mashine gani ?Kwa Garama Za Catapila Sizani Kama Hizo Mbaazi Zenyewe Zitakupa Faida.
Nashukuru sana mkuu, jumamosi nitakwenda kuongea naoKama uko Dsm jaribu kwenda pale Badir contractors wako Mandela road mita chache baada ya kuvuka daraja pale matumbi mkono wa kushoto kama unaelekea Buguruni.
Mkuu huo ni ushauri tu anapewa,ataufanyia kazi ataangalia unafuu uko wapi.Lakini nachelea kusema ushauri wako unaweza kuwa ghali zaidi.Kung'oa visiki ekari 25 kwa vibarua wanaotumia majembe na sululu ni kazi kubwa na ni gharama kubwa.Kuna mahala mimi nilijaribu njia hiyo nikaambiwa ekari mmoja kung'oa visiki tsh laki tatu.Nakwambia aliyekudanganya hilo limashine kakuingiza cha kike lile dude litakufilisi tafuta vijana na zana ni wiki tu watavimaliza
Ahsante pia kwa ushauri wako. Nitaongea nao then nipime kipi bora baina ya option hizo mbiliNakwambia aliyekudanganya hilo limashine kakuingiza cha kike lile dude litakufilisi tafuta vijana na zana ni wiki tu watavimaliza
Mkuu fanya utafiti kuhusu gharama utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuamua,njia ziko nyingi kuna tractor pia unaweza tumia.Lakini kama ni shamba lenye visiki vya maana mtu asikudanganye kutumia vibarua,utachemsha.Nashukuru sana mkuu, jumamosi nitakwenda kuongea nao
Shamba lina miti na visiki hivyo hata wao wataangalia watanipa bei yao nami ntaangalia kama bei yao itakuwa na manufaa kwangu but shamba lile kwa vibarua majangaMkuu huo ni ushauri tu anapewa,ataufanyia kazi ataangalia unafuu uko wapi.Lakini nachelea kusema ushauri wako unaweza kuwa ghali zaidi.Kung'oa visiki ekari 25 kwa vibarua wanaotumia majembe na sululu ni kazi kubwa na ni gharama kubwa.Kuna mahala mimi nilijaribu njia hiyo nikaambiwa ekari mmoja kung'oa visiki tsh laki tatu.
Nashukuru sana mkuu ntafanyia kazi ushauri wako.Mkuu Usiangaike na greda maana kaz kung'oa visiki lnatakiwa greda kubwa watakuambia lenyewe halitembei barabarani ni lile lnalotumia cheni kutembea unakodsha gar kulipeleka na kulirudsha gar pekee yke kwenda na kurud utambiwa milioni 3 bdo lenyewe malipo kwa saa milioni 1 kwa ekar hzo cjui masaa mangp bdo mafuta na opereta juu ykoo