Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Za mchana wapendwa.
Nilitaka kujua kama kuna anayejua kampuni inayotengeneza beverage plastics za kwa jumla. . Kama inawezekana, wawe wanafanya custom design (tofauti na zile za mtaani za juice ya miwa), mfano wa picha nilizoattach kwenye uzi huu. Asanteni.