Natafuta kadi ya pesa

Natafuta kadi ya pesa

Sophia bavuma

Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
66
Reaction score
6
wanajf msaada kama kuna sehemu kuna kadi za tigopesa au m-pesa tuambiane maana nilienda tigo walisema zimeisha sijalibu voda.
 
wanajf msaada kama kuna sehemu kuna kadi za tigopesa au m-pesa tuambiane maana nilienda tigo walisema zimeisha sijalibu voda.

Mtafute mtu anaitwa swordfishhapa kwenye forums, anauza za tigo pesa me mwenyewe ameniuzia...
 
Back
Top Bottom