Natafuta kadi ya CHADEMA

Natafuta kadi ya CHADEMA

Tupo wengi tu hata mimi natafuta. ningependekeza CHADEMA waweke online registration hapa wangetengeneza wananchama wengi sana kupitia mtandao, hii process ya kusaka kadi hadi kwenye ofisi physically ni ya kizamani.

CHADEMA mnaonaje wazo langu?
 
...kwa mfano mimi ni mkazi wa arusha lakini hadi leo sijawahi kuiona ofisi ya chadma mkoa arusha,kama ipo maelekezo tafadhali

Ofisi za cdm mkoa wa Arusha zipo stand kuu ya mabasi, jengo la Namvua, ghorofa ya nne. Jengo lipo kwenye kona kati ya barabara ya kuingia standi na inayoelekea mnara wa mwenge, linatazamana na stand ya mabasi ya kwenda Loliondo. Unakaribishwa.
 
hahaah mimi nacheka sana nikiona watu asubuhi yote hii mnashushuana na siasa na vyama vyake. Mungu awape nguvu.
 
Jamani wanajamii wenzangu mi nipo udom kama kuna mtu wa udom humu ndani na anajua mahali kadi zinapatikana anielekeze jamani

mnafiki utamjua tu..acha kudhalilisha chama chetu bwana.
 
...kwa mfano mimi ni mkazi wa arusha lakini hadi leo sijawahi kuiona ofisi ya chadma mkoa arusha,kama ipo maelekezo tafadhali

Ofisi za cdm mkoa wa Arusha zipo stand kuu ya mabasi, jengo la Namvua, ghorofa ya nne. Jengo lipo kwenye kona kati ya barabara ya kuingia standi na inayoelekea mnara wa mwenge, linatazamana na stand ya mabasi ya kwenda Loliondo. Unakaribishwa.
 
nadhani ombi lako limefika
wadau wenye akili timamu tusaidieni mpiganaji apate haki yake
mi nishapata yangu safiii
karibu tuendeleze mapambano
 
Back
Top Bottom