Natafuta kabinti kateke (ila kawe 18+)

nako kabinti kanatafuta kijana mteke hivi kaku rap ili awe anacheza pia mcheza kikapu anaona anamfaa zaidi nadhani nafuta mkubwa kwa size yako mi ntakuelekeza walipo

Hata mimi nacheza kikapu siku hizi!
 
Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine kama kuni-facebook n.k ila sio kuchakachuana

Sina nia mbaya ni kutaka tu kujifurahisha mtima wangu na kupunguza stress za maisha ila narudia tena kuchakachuana NO
mzinzi huyo :)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom