Natafuta kabinti kasirisiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kabinti kasirisiri

Discussion in 'Love Connect' started by JamboJema, Jul 13, 2011.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Natafuta kabinti kasirisiri ...yaaani ma watoto asijuwe, tufurahishane. Kawe na miaka kuanzia 20 hadi 35 kanatosha. Katakakoona kanafaa kaniPM tulonge.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  miaka 35 ni ka binti?
  au unatafuta wake za watu??????????/
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ridhika na mkeo. We vipiiii!!
   
 4. m

  mja JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red, inamaana mama watoto wako hakufurahishi, there are must be something wrong between u and your mama watoto, start to work there, na hutataka kabint...
   
 5. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe utakuwa JamboBaya... Sio JamboJema.....
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jamani yaani we unadhani mboga moja inatosha? Ni vyema kuchanganya ili usije kinai.
   
 7. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mke wa mtu akijiita kabinti ntashangaa!
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umenisoma vibaya. Taabu ya watu ni hawataki kusikia ukweli. Ni wangapi hamtoki nje ya ndoa? Kwa tafiti nyingi tu wengi wetu hii ni lazima tufanye. Cheki hii:
  "Mzee Malecela, kabla ya mke wake kufariki alikuwa akitembea na Mama Tatu Ntimizi, aliyekuwa waziri mdogo wa Ardhi baadaye Afya na ambaye ni Muisilamu, Mama Tatu, alipooona Mke wa mzee amefariki akaamini kuwa Mzee atamuoa, kwa hiyo akaanza filimbi za kusema kuwa Malecela anataka kumuoa, na kwamba tayari ameshabadili dini, habari zikamkuta adui mkubwa wa Malecela Mwalimu, aliyewaaambia waandishi wake kuzichapisha kwa wingi na pia hata kumchora sana kwenye magazeti, they did,

  Ndipo kaka yake Lusimnde akamuonya kuachana na huyo mama, the matter of fact ni Lusinde ndiye aliyemfukuza Mama Ntimizi kwenye Arobaini ya mke wa Malecela na hata kwenye mazishi ya mama wa Malecela, na ndipo Mzee akaachana na huyo Mama Ntimizi ambaye baadaye alianza kutembea na Sumaye, Waziri Mkuu, huku Mzee Malecela akimuoa kanisani Mama Anne Kilango, mbunge wa Same.

  Malecela alikwenda msikitini kama viongozi wengine wote wanavyokwenda kuongea na Waisilamu, katika kutatua matatizo kabla ya maandamano baada ya kupata habari za usalama kuwa wanajitayarisha kuandamana kazi ambayo baadaye walimpatia Mzee Kitwana Kondo, ambayo huifanya hadi leo hiii, na ndiyo ilyompa nafasi hata ya kuingia chumbani kwa Mkapa wakati wowote ule hata saa nane za usiku.

  Lakini at the same token, Malecela alikuwa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, ambaye alikuwa ni mshonaji wa nguo mkubwa sana jijini ambaye alizaa naye mtoto wa kike daktari, ambaye badaye alijiua mwenyewe, na pia huyo Mama wa kuihaya alikuwa amezaa na Mzee Nyamka Ramamdhani, aliyekuwa Meya wa jiji, nafikiri wote tunamfahamu yule kijana aliyekuwa dj wa IPP wakati fulani, nii mmoja watoto aliozaa huyo mama na Mzee Nyamka. Kwa hiyo kama ulimuona Malecela kwenye mitaaa ya huko Sinza basi 95%, alikuwa akienda kwa huyo mama.

  Malecela hajawahi kuwatukana Waisilamu, angewatukana urafiki wake na Salimin na Mwinyi, ungeisha siku hiyo hiyo, kama urafiki wa Salimin na Mkapa ulivyoisha baada ya Mkapa kuwatukana Waisialmu.

  Akliwa Wazirii Mkuu, Malecela hakuwa na power yoyote zaidi tu ya kutekeleza anayoambiwa na Mwinyi, Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa kwanza bongo mweye power ya kweli katika historia ya bongo, maana kwanza Mwalimu hayupo, na pia ni rafiki wa karibu wa rais wa sasa, halafu pia Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!"

  Source: Field Marshall ES katika thread Kwa nini Malecele alijulikana ghafla kama Jumanne?
  Hii ni kuonyesha sote tu wanadamu.
   
 9. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nakusoma vyema, na naridhika naye. Ila si kila bucha inanyama ya ng'ombe yuleyule.
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hahahahaha!!!! Take care, nyambizi linakuja.
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  atakuwa ni malaya.
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ushawamaliza makahaba wote, wale ndo wanajua vizuri, hakuna haja ya kumtafutia Jf.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  proteins ni zilezile.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka hakuna siri ukishakachapa kakinogewa katapita mtaani kwenu na bango kubwa kakijinakshi kuwa weye ni mmewe. ogopa sana vitoto km hivyo tulia na mkeo tuu
   
 15. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jambo jema nakushauri kama upo hapa nenda kambi ya fisi au kama upo arusha nenda roundabout pale karibu na safari hotel wapo wengi ujichagilie.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mi mpayukaji...
  Na miaka yangu imezidi 35..
   
 17. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ma watoto wako hakuridhishi?, au unataka kutelekeza familia.
   
 18. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda kwenye madangulo wapo
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  ungebadilisha jina lako kwanza, ww si jambo jema! then um-introduce na mkeo humu ili mafisadi papa wamsalandie manake ugali nao kila siku utakuwa unamchosha,walau apate chapati, tambi, wali,unajua tena!
   
 20. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Litazingatiwa.
   
Loading...