Leonard Waziri
Member
- Aug 15, 2013
- 55
- 23
Naomba anisaidie au hata mawasiliano ya karibu na chuo hicho
Na asipoiona ajue baadhi ya vyuo wanatoa joining baada ya kukuchagua(kwa waliofanya online application)Ingia kwenye student application profile aliyojisajilia utakuta joining instruction.