Pole dogo, ila angalia utkuja lelewa na wanaume sasa. wewe shida yako si upate malezi tu, basi kama magari ya kifahari utaendesha, tv flat screen inch 48 utakuwa nayo chumbani kwako, misosi ya heshima itakuwa kitu kidogo kwako kwani utakuwa unapika mwenyewe.
lkn mwisho wa yote utakuwa unavaa khanga moko, ndembe ndembe kwa kukustahi unaweza vaa na T-shirt badala ya ki-top.
si unakumbuka 20% aishaimba "chunga tamaa mbaya",
rahisisha mahitaji yako,
ongeza kipato chako,