Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Wakuu kwemai
Hope mko poa naombeni msaada wenu mimi ni mgeni hapa mwanza kuna insu imenileta huku sina uenyeji na mitaa ya huku naombeni kwa anaefahamu anijuze naweza kupata wapi jezi OG ya chelsea au maduka ya jezi yanapatikana wapi?