Habari Wanajamvi,,,,
Natafuta IT partner awe anaufahamu wa programming na hardware maintanance. Iwe ufahamu mkubwa au mdogo ila awe anajua computer, nikimaanisha awe anaidea ya webdesign, ufahamu wa programming language kati ya hizi Java, Javascript, PHP, etc
Kikubwa zaidi awe self motivated na apende anachofanya,,Ndoto Kubwa Ni Muhimu Pia
Umri miaka 22 - 26
Mahali Dar Es Salaam
Sina pesa kama mtu amewazia yakuwa nataka kufungua biashara,,,nataka mtu mwenye skills kama zangu ili tufanye kitu kitakachotuingizia pesa,,,Kuzunguka na Bahasha Za Kaki Sitaki
+255684141476