Natafuta ipad

Natafuta ipad

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Mambo vip wakuu mwenye ipad ya kati ya dola 225 hivi tuwasiliane iwe na hali nzuri wire less, gb32 na speed nzuri
namba yangu 0757796706
 
Mkuu mimi sina ya sifa hizo ila kama utahitaji ninayo yenye sifa zifuatazo
1.Genuine iPad 2
2.Manufactured in China(NB. sikila kilichotengenezwa china ni fake)
2.Imetumika miez 6 tu nje ya tz
3.WiFi+3G, 16GB
4.Color:Black
5.Price: 550 USD
kama unahitaji ni PM mkuu
Ushauri wa bure: pita web ya apple uone aina ya ipad walizonazo, angalia usiingizwe cha kike/kiume mana kuna watu wamefyatua hadi ipad 3,4 etc.
 
Mambo vip wakuu mwenye ipad ya kati ya dola 225 hivi tuwasiliane iwe na hali nzuri wire less, gb32 na speed nzuri
namba yangu 0757796706

iPad I 16GB 3G kwa 350,000/= utachukua. Ni almost new.
 
Old stuff..kitu kina nusu kilo cha nn? Ipad air ndio mpango mzima
Nina kitu mang'anyu cha iPad Air, $750 tu
iPad Air 1475, wifi+cellular, 3g, 4g & lte
64gb
color gray (gunmetal)
na madikodiko mengine

pm kama utaipenda
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    87.1 KB · Views: 110
  • image.jpg
    image.jpg
    91.5 KB · Views: 106
  • image.jpg
    image.jpg
    92.5 KB · Views: 101

Similar Discussions

Back
Top Bottom