Natafuta iPAD ya apple

iPad ya apple ndio nini mkuu? au tablet aina ya iPad inayozalishwa na apple?
 
Sasa nimekosea nn !! Natafuta iPad !! Tablet za apple znaitwa iPad sasa mbona mnashangaa
 
Mimi ninayo ipad 3, used toka Brazil. Na mimi nimeitumia wiki 2 tu. Haina tatizo lolote. TZS 400,000 nakuachia. Naiuza kwa sababu nimechagua kutumia tablet ya windows. Nililetewa 2
Nipo Mwanza
 
Sioni tatizo na uandishi au kwasababu kaiweka kiswahili ndio inaonekana si sahihi?

appe.JPG
qwer.JPG
 
Mimi ninayo ipad 3, used toka Brazil. Na mimi nimeitumia wiki 2 tu. Haina tatizo lolote. TZS 400,000 nakuachia. Naiuza kwa sababu nimechagua kutumia tablet ya windows. Nililetewa 2
Nipo Mwanza
Weka contact niicheki kaa tunaweza Fanya biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom