Natafuta intership mkoa wa Arusha

Natafuta intership mkoa wa Arusha

Longoshe

Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
52
Reaction score
66
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, Accounting and Finance, natafuta intership kwa miezi miwili mkoa wa Arusha
 
Mimi ni mwanafunzi nipo mwaka wa pili, Accounting and finance, tafadhali kwa mwenye kuweza kuniunganisha field sehemu yoyote Arusha nitashukuru sana
 
Iko vizuri tu haina shida mkuu, we endelea kutafuta Intership ziko nyingi tu pale Sanawari.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nenda kwa Ndigiro,baba Diana, wasiwasi watakupa internship
 
Ndo wasomi wa miaka hii tulio nao

Kama nchi bado tuna safari ndefu.[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, Accounting and Finance, natafuta intership kwa miezi miwili mkoa wa Arusha
Mkuu kama bado hujamaliza chuo iyo inakua field sio internship., kachukue barua ya utambulisho kutoka chuo pamoja na matokeo yako ya mwaka wa kwanza semester zote mbili pita maofisini uombe kupata field sio ishu ngumu kivile ingawa umechelewa kodogo ilitakiwa iyo kazi uifanye kabla hamjafunga chuo ila muda bado upo.
 
Jitahidi pia kufafanua hiyo mwaka wa pili ni wa ngazi gani ya elimu. Astashahada, Shahada, Uzamili, Uzamivu n.k.
 
Internship[emoji1787][emoji1787]hapohapo bado yupo Chuo[emoji134][emoji134]ni Field dogo na si Internship!!!hiyo Internship ni kwa waliomaliza Chuo ndio huomba ili kupata uzoefu
 
Back
Top Bottom