Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T au kama unaweza kunisaidia kupata nafasi kwa hawa jamaa wa viettel nitashukuru sana. Nipo tayari kufanya internship mkoa wowote ule.
Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.[/QUO
Uko mkoa gani na umesomea course gani,then interniship sio Vietel tu,change your mind,mtu kama anahitaji kukusaidia kampuni ingine si anakupiga kapuni mkuu,
then Viettel kwasasa hata hiyo nafasi ya IT huwezi pata,kwasababu wanakaribia kumaliza kufunga minara yao,labda business/marketing/sales utapata, vua hiyo mind usijifungie gereza