Habari Jamii!
Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama
IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu ninafurahia kufanya coding.
Skills ambazo nimejifunza na ninazielewa hadi sasa japo bado naendelea kujifunza Kila siku ni;-
Frontend SKILLS
- HTML, CSS, JAVASCRIPT (Scripting and styling language)
- BOOTSTRAP CSS, na VUE JS (Frameworks)
Backend Skills
- Python na Php (Programming languages)
- Django na Laravel (Frameworks)
Mobile App Development
- Dart (Language) na flutter(framework)
Code repository
-GITHUB
Project nilizozifanya hadi sasa katika kupambana natimiza ndoto yangu yakuwa software developer mzuli ni zifuatazo;-
-
KLM Estates Group Ltd
-
HK Abroad Edu Consultancy (HKEC)
-
Magari
-
Wbotec
Asanteni sana, natumai nitafanikiwa. Napatikana kwa njia ya sim na email
Sim:
0788191936