Natafuta intern/kazi

Mech engineer

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
334
442
Habari wakuu,
Ni graduate mtarajiwa wa ndaki ya uhandisi mitambo {Bsc in Mechanical Engineering} kutoka chuo kikuu cha Dsm. Natafuta Internship au kazi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile.
Asanteni.
 
Mihan(kampuni ya gesi, Mihani Gas) walikua wanatoa Intership, hebu jaribu kuangalia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom