Natafuta Huawei IDEOS U8150 za Kununua....

Kama unataka za biashara nenda Nairobi kwenye maduka ya Safaricom wanaziuza kuna wakati walikuwa wanauza kwa Tsh 70,000 ila kwa sasa sijui,angalia kwenye website yao,uzuri hizo za Safaricom ni unlocked tofauti na za Tigo
 
unaweza kunisaidia sehemu gani nairobi naweza pata simu za mkononi na vifaa vya computers kama external hardisk etc za kuzaa kwa bei poa??
 
Back
Top Bottom