bongo soft guru Member Joined Nov 17, 2015 Posts 97 Reaction score 23 Apr 15, 2017 #1 Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi. Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake. Nawatakia Pasaka njema.
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi. Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake. Nawatakia Pasaka njema.