Mzee mimi nina N900 nimenunua mwezi wa 9 mwaka huu,kama unahitaji nisubiri tarehe 30 nitakuwa mwezi huu wa 12 ila bei yake nimenunua rial ya oman 160 kwa hiyo tazama kwa Tshs inakuja ngapi,ina waranty ya 1year kama vp nitafute hapo +96892321290 nipe namba yko nkifika Dar ntakucall