Natafuta house tafadhali nisaidieni

Nimeoa nina mtoto mmoja,naishi Mafia,tafadhali naombeni msaada wenu.
Kama unataka msaada kwa nini usiweke taarifa iliyonyooka na isiyo na maswali maswali............. sasa hiyo Nyumba unayotafutia wapi ni Huko Mafia unapoishi au nje ya Mafia?
 
Kama unataka msaada kwa nini usiweke taarifa iliyonyooka na isiyo na maswali maswali............. sasa hiyo Nyumba unayotafutia wapi ni Huko Mafia unapoishi au nje ya Mafia?

Kweli ati mkuu. Tunashindwa pia kufahamu kama kuoa na kuwa na mtoto vinaweza kutumika kutambulisha sifa ya nyumba inayotafutwa!

Mwomba msaada toa maelezo ya kutosha kukusaidia tafadhali. Sentensi yako hiyo haijitoshelezi.
 
Tukusaidie nyumba? kama sielewi vile, watu wengi tu hawana nyumba wamepanga wewe unaomba usaidiwe nyumba? nenda Libya ambako ukioa unapewa nyumba. Au sijakuelewa?
 
Hapa ni post za kutafuta kazi,ila we unatafuta nyumba kwenye hii safu,huoni unachanganya mambo
 
Unatafuta nyumba ya kufanya nini, au nyumba ndogo? unaposema usaidiwe kutafuta au unataka ulipiwe nyumba yenyewe ikipatikaa ? be specific ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom