Natafuta House Manager

Si ndo. Nakwambia, kuna sehemu unaweza ukaenda ukakuta maembe wenyewe wanaita eemayembe ukasema Hawa ni wehu🀣
Daaah mkuu acha kabisa
Katika hali ya utafutaji kila siku
Tunabunu mbinu mpya kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Mbuzi
 
Vuta subira kidogo Mkuu waongeze CV zao maana VETA tayari wameanzisha kozi mpya ya 'Utunzaji wa Nyumba' kwa vijana wetu wenye elimu kuanzia darasa la saba, lengo ikiwa kutanua wigo wa soko la ajira hasa huko ughaibuni
 
Upwiru kitu kibaya saaana
 
Hatimaye unataka mikono ipumzike sasa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mambo ya kutafuta mishangazi mkuu

Acha kabisa
Unaitafutia humu jf kumbe?
Huko shamba unapotaka kwenda mashangazi utayapaje sasa mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…