Natafuta House Manager

Natafuta House Manager

Naona kijiwe kimepamba moto Mr Pixel3a anadai natafuta mke, na multiple anasema mbinu ni zile zile za mabaharia. Sasa jamani, soga zenu hazisafishi nyumba wala hazipiki chapati

Kama unajua binti mweupe, hana mtoto, na yuko tayari kwa kazi
nitumie picha yake DM sasa hivi.
 
Hii ID ya huyu Member secretarybird haijaanza leo hii kunichokoza, kunishambulia, kunitukana na kunidhalilisha na nimeshairipoti sana Kwenu ila kwakuwa ni Mwenzenu na mnamuogopa hakuna mnachomfanya. Kuonyesha kuwa si tu mnamuogopa hapa JamiiForums bali pia mnamlinda Wiki iliyopita ALINIDHALILISHA vibaya sana hapa na upesi nikamripoti Kwenu ila kuonyesha kuwa kuna Members hapa mnatuchukia na kufurahia tunavyotukanwa kila mara na kila siku huku mkiwapendelea wengine mkaenda kufuta ile Post yake secretarybird na mkaingia pia katika Post yangu ambayo nilinukuu huo UDHALILISHAJI wake Kwangu ili kumlinda na Adhabu zenu (BAN) nina uhakika wa 100% kwa mnavyonichukia kama ingekuwa ndiyo Mimi nimemdhalilisha vile Member hapa hivi sasa ningekuwa natumikia BAN yangu ya ama Siku 30 au 90.

Nasisitiza kwenu tena JamiiForums Moderators kuwa hakuna wa kuniweza hapa kwa Lugha Kali na Chafu kama nikiamua ila nimeamua Kuheshimu Jukwaa na Kuuheshimisha pia Mtandao huu wa JamiiForums ila naona sasa ni kama vile GENTAMYCINE nimekuwa ni Agenda Kuu ya Members Wapumbavu, wenye Chuki na Wivu na aina yangu ya Uwasilishaji hapa na hakuna lolote ambalo JamiiForums Moderators mnafanya na pengine huwa mnafurahia kinachoendelea juu yangu.

Mwisho niwaombeni tu kama mnataka nimnyooshe vilivyo huyu Member mnayemlinda na kumuogopa secretarybird ruhusuni Vita yangu nami ili niwaonyesheni na nimuonyeshe kuwa hakuna na kamwe hatokuja kutokea Mtu anayeviweza hasa Vita vya Maneno Makali hapa JamiiForums. Nimeamua kubadilika kama ambavyo mlikuwa mkiniambia ila nashangaa sasa mmeruhusu kila aina ya Dhihaka, Kejeli, Matusi na Udhalilishaji kufanywa dhidi yangu.

Nimemaliza.

Cc: Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
Naitwa Ayatollah secretarybird wa JF. Hivyo unapoongea nami kuwa na rundo la heshima.

Cc Payge, Cookie, Paw, Active.
 
Naitwa Ayatollah secretarybird wa JF. Hivyo unapoongea nami kuwa na rundo la heshima.

Cc Payge, Cookie, Paw, Active.
Ili kuuthibitisha huo Uayatollah wako omba ruhusa kutoka kwa Moderators wa JamiiForums na Mmiliki wake Maxence Melo ya Vita yangu ya Maneno Makali na Machafu hapa JamiiForums (na wanihakikishie tu kuwa hawatonipa BAN) ili nikunyooshe vilivyo na ujue kuwa sina Mpinzani katika hiyo Vita hapa JamiiForums na hatotokea Watakuheshimu hao Wapumbavu na Wanaume wa Visu vya Mkunjo wenzako ila siyo Mimi.

Cc: Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Ili kuuthibitisha huo Uayatollah wako omba ruhusa kutoka kwa Moderators wa JamiiForums na Mmiliki wake Maxence Melo ya Vita yangu ya Maneno Makali na Machafu hapa JamiiForums (na wanihakikishie tu kuwa hawatonipa BAN) ili nikunyooshe vilivyo na ujue kuwa sina Mpinzani katika hiyo Vita hapa JamiiForums na hatotokea Watakuheshimu hao Wapumbavu na Wanaume wa Visu vya Mkunjo wenzako ila siyo Mimi.

Cc: Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
Piganeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom