Natafuta hostel

Natafuta hostel

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
133
Reaction score
27
natafuta hostel, dar kwa ajili ya kuishi mieiz miwili ya august na september, maeneo ya kawe, msasani, moroco, kinondoni , mwananyamala, au popote pale mitaa inayokaribiana na hiyo, tusaidiane wapendwa natafuta mahali pa kuish kwa ajili ya field.
 
Nenda Pale kanisa la Lutherani Magomeni wana Hostel kwa bei nafuu sana. Ukikosa waweza kusogea pale Msimbazi centre pia wana Hostel nzuri zaidi ila bei yao inaongezeka kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom