Natafuta hivi viatu

Natafuta hivi viatu

Mhhhhhhhhh,

Namwona Mama wa logistics Preta akitafuta mara viatu, mara mkanda, mara ohhhhhhhhh!!!

Hebu nitafutie mupenzi wangu Lily Flower anambie kama huyu siyo nyuki wa mashine...lol!!

Vinginevyo, twende zetu Monduli kwanza tukahani ile "safari ya matumaini hewa"....!

Babu DC!!

Heshima kwako babu........eid mubarak.......
huyu Lily Flower yupo kwenye utambulisho wa muheshimiwa alcohol...........
tuliobaki Monduli tunajikung'uta vumbi.........wacha tutakate kwanza..........tunakuja........
 
Last edited by a moderator:
Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............

Umesahau kutaja namba mkuu utaletewa hadi (NIKE) na 4 ohooo
 
Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............
Hebu funguka vizuri, unataka viatu au mwenye hivyo viatu?
 
Hiki kiatu kama no.7 toa taarifa kama chini ya hapo wacha kiendelee kuwa sokoni
 
Mi sikuulizi unataka no. ngapi kwasababu najua nyinyi wa kike muna miguu mikubwa hata kiatu namba 11 munavaa kama joketi alivyoweza kuvaa cha Hashimu Thabit
 
Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............

Kwa hio jamaa kakuua kabisa,,,,dah mama umejidharaulisha sana nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa sasa huna tofauti na nanihii wa kina bar au wale wa pale kahumba night park hukoo moro. Dah.
 
Back
Top Bottom