Sijaelewa
dah! Asante mkuu kwa ufafanuzi loh!Hujamuelewa Nini Mkuu Wakati Mwenzako Keshakuambia Kuwa Anataka Muhogo Wa Jang'ombe? Wewe Ulitaka Aje Moja Kwa Moja Kimaneno?
Mi ninavyoKwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe.........
Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........
asanteni sana.............
Umevinunua wapi..........?.......au unaviuza.........?........
Na huo mkanda sijui ni wa ngozi........mzuri kweli..........
Maana halisi ya uanaume haupo kwenye kutunisha kifua kama makalio ya mtoto...bali ni kwenye kuweza kuusimamisha mlingoti bila jeki...
Kwa hiyo?