Addition,As an MD sibiri nikupe ushauri! ... kuna kitu kinaitwa false positive na false negative ... ukitumia Alere Determine , ukikuta negative it means 100% upo safe! BUT ukikuta positive sio confirmation 100% kwamba una HIV positive sababu Alere Determine ina react pia na some other bacteria/viruses sometime hata ukiwa na malaria inaweza kukupa positive.
so Alere Determine ni nzuri sababu sensitivity yake ipo juu kama huna maana yake huna kwa wakati huo..
ila ikukupa positive it means something is wrong ila sio 100% ni HIV ndio maana baada ya +ve results watu wanafanya serology test ..
(kama nimekosea ntarekebishwa)
Nafikiri unamaanisha kipimo cha gold reactive ni kinauzwa 15000/=ila upatikanaji wake sio available sana mi nilivinunua AAR tabata sijajua kwenye baadhi ya pharmacy
Vipi kinauzwajeeUliibiwa mkuu