Natafuta hiki kitabu

Natafuta hiki kitabu

Mzee huu uzi ni wa kusaidiana sio biashara, unayumba sana. Ni kweli nakitafuta hiko kitabu lakini eti nitoe 5k round hii never ever!.

Anyway utawapata watakaokuja. Sisi wengine tumesomea uchumi ule wa ndani kabisa
Hivyo vitabu sio rahisi kuvipata hivi hivi bila kuvinunua kwahiyo usikute yeye mwenyewe amevinunua na ni mfanyabiashara anaonekana kwahiyo ndiyo maana yeye mwenyewe anauza ili kupata faida
 
Sawa Gervas.
 
Hivyo vitabu sio rahisi kuvipata hivi hivi bila kuvinunua kwahiyo usikute yeye mwenyewe amevinunua na ni mfanyabiashara anaonekana kwahiyo ndiyo maana yeye mwenyewe anauza ili kupata faida
Hii umeiweka vizuri sana ingawa bongolala ataelewa kwa kuchelewa.
 
Vitabu kama hivyo vipo vingi tu vizuri.
 
Attachments

  • 1755262249544.jpg
    1755262249544.jpg
    33.9 KB · Views: 15
Hi..
Kindly naomba mwenye soft copy ya hiki kitabu anisaidie kwa kunitumia pm tafadhali
THE MIND VIRTUOSO by Aven soltera
Kule Amazon kinaitwa The Mind VIRTUOSO by Aven saltern .
Japo wengine wanadai kuwa ni fake copy
 
nimependa chapter moja anasema turn your mind like virtuoso to attract wealth,love and success.
kipo amazon $40
 
Haikuwa na haja ya kufatana inbox! Ilitosha tu kule kule kwenye group lako, ila ukaona kama sijaona sijui ukaamua unifate kabisa inbox kwa msisitizo!. Nikaona hapa kuna namna ndo maana nikakujibu subiri "niitafute hiyo hela"

Nikaona kama tunafatana mpaka inbox hivi basi hapa si salama. Nikaamua ni left kimya kimya

Hebu jiamini na biashara yako mzee! Mambo ya kufatana inbox bila ridhaa unaua band
Kajinga haka, tutakachapa.
 
Back
Top Bottom