Hi..
Kindly naomba mwenye soft copy ya hiki kitabu anisaidie kwa kunitumia pm tafadhali
THE MIND VIRTUOSO by Aven soltera
Ukikipata nakiomba, au utume humu kwa faida ya wengiAsante
Oky waiting...Ntakituma
Naomba copy nikipitie
Ni kizuri kama hicho? Please share with meNimepata kama icho ila sio kama icho
ThanksNtakutumia
Naomba mwenye soft copy ya kitabu cha "the great ponds by Elech Amadi"
Hi..
Kindly naomba mwenye soft copy ya hiki kitabu anisaidie kwa kunitumia pm tafadhali
THE MIND VIRTUOSO by Aven soltera
Nina namba yako ya whatsupp nikikipata nitakutumia usijali darling.
AsanteniUkikipata nakiomba, au utume humu kwa faida ya wengi
Ntakituma
Angetusaidia tuMzee huu uzi ni wa kusaidiana sio biashara, unayumba sana. Ni kweli nakitafuta hiko kitabu lakini eti nitoe 5k round hii never ever!.
Anyway utawapata watakaokuja. Sisi wengine tumesomea uchumi ule wa ndani kabisa