Natafuta hiki kitabu

A Wreath for Father Mayor ni cha zamani kimerudi tena? Vitabu vya Ndunguru navipenda vimekaa kiimani zaidi...kuna kingine kinaitwa Devine Providence ni kizuri sana
Devine Providence kinasomwa Advance level
 
Kiukweli Mungu anisamehe tu, kila nikisikiaga story za huyu dada ni lazima nikikumbuke hiki kitabu.

Hope siyo za kivile.
[emoji23][emoji23][emoji23]mi nikisikiaga Limbwata namkumbuka kaka wa hum alivyogeuka zezeta kisa limbwata...hata shemeji yenu nikitaka kumpa najikuta naahirisha[emoji85]
 
Inategemea uko wapi mkuu. Ukikiagiza kupitia "Amazon" utalipa dola za kimarekani $5.98 na watakusafirishia hadi mlangoni.
Mimi nakitafuta kitabu kinaitwa "Mateka Mpakani" nisaidieni jinsi ya kukipata Wakuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…