Natafuta hiki kitabu

'CONCUBINE' masuala ya nyumba ndogo kwa mujibu wa kiingilishi changu cha std iii-ya kikoloni. mkuu mshana neno lako tafadhali!!!
 
Mshana, ukitaka pia ipo filamu yake ambayo ilitolewa mwaka 2007.

Concubine ni fasihi andishi kali sana.

Ipo tamthiliya ingine yaitwa The Great Ponds, ambayo Amadi alitunga inazungumzia kisima kidogo cha maji ambacho kinagombewa na wanakijiji wa vijiji viwili kima moja kikitaka kumiliki hicho kisima.
 
Akhsante sana kwa kunikumbushia 'the great ponds' mkuu.
 
Nimekisoma hiki nacho
 
Nimekisoma hiki nacho
The Great ponds nilikielewa lakini hiki ukitafutacho 'Concubine' dah!,lugha baba lugha,nilikirudia mara mbili nikiwa form one lakini duh!!!,ukikipata nigaie nami nichimbue kimalkia tena labda nitaambulia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…