Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 486
- 860
Asaante mkuu nitafanya hivo.Kama ukizunguka kote ukikosa, mwambie mtu wako wa karibu aliyepo Dsm akununulie na kukuagizia.
Ingawa Yale Maduka Ya Uwanja Wa Jamhuri
Mkuu unahisi? Unajisikiaje hadi kuhisi una upungufu wa B12?Nahitaji hiyo dawa kiongozi, ninahisi nina upungufu wa vitamin b12, nipo Moro
Mkuu unahisi? Unajisikiaje hadi kuhisi una upungufu wa B12?
sawa mkuu asantenenda kkoo mtaa wa nyamwez kuna maduka makubwa yamepangana unaweza kubahatisha au unaweza kusearch namba zao kwenye social media ukawasiliana nao kabla haujaenda
Sawa mkuu nitafanya hivo kabisaIngawa Yale Maduka Ya Uwanja Wa Jamhuri
Nikushauri Ukiongea Na Wauzaji
Wanaweza Kukusaidia Kuipata Haraka
Hawa Msafiri Wapo Mikoa Mingi Sana Na Biashara Ya DawaMsafiri pharmacy,ipo baada ya kuvuka daraja la kwenda hospital ya rufaa Morogoro.Pita hapo ulizia
Siyo karibu na Exim, Exim kwa nyuma. Karibu kabisa na sophia hotel. Kuna duka kuubwa la MarhabaKuna Duka Pale Jirani Na Abood
Exim Bank Ni La Jumla Umewahi Pita
Ulipata mkuu? Pole sana.Miezi kama 4 ilopita nilikuwa nina hali mbaya sana nilikuwa siwezi hata kutembea, miguu ilikuwa dhaifu sana na nilikuwa nina ganzi kwenye miguu na mikono. Niliendaga hospitali nikaambiwa nitumia vitamin b complex, ila sasa hiyo dawa niliandikiwaga lakini sikuipata, nikawa natumia b complex za kawaida tangu wakati huo. Changamoto ni kwamba hali yangu sasa imeimarika kiasi ila sio kwamba nimepona kabisa, ganzi imepungua lakini haijaisha, ndo maana nikawa nahitaji high dose ambayo ndo hiyo nimeiona wengi wanaishauri. Ni hayo tu mkubwa