wakuu salam,
natafuta kifaa cha kuconvert video signals kutoka kwenye DVD player kwenda kwenye HDMI au SCART to HDMI conveter.
ambaye anacho hicho kifaa au anayejua naweza kukipata duka gani hapa Dar anijuze
kaka Escober!! kama unamaanisha waya ya scart kuelekea hdmi!! hiyo hakuna na ukiikuta usinunue!! these two deliver two different qualities! utakachokipata ni picha tu but quality haitokua ya high definition!!