southernboy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 904 Reaction score 1,102 Dec 31, 2023 #1 Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,618 Dec 31, 2023 #3 southernboy said: Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar. Click to expand... Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828
southernboy said: Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar. Click to expand... Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,298 Dec 31, 2023 #4 Half american said: Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828 Click to expand... Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1. Simu Pasi.
Half american said: Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828 Click to expand... Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1. Simu Pasi.
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 37,930 Dec 31, 2023 #5 Half american said: Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828 Click to expand... Uwe makini tu, kuwe na ofice na uchukue receipt, usije uwawa kimasihara baadae kwa kuitwa mwizi wa simu
Half american said: Fika china plaza kwa bei hiyo hukosi. Mcheki huyu mwamba yupo floor ya kwanza. 0672115828 Click to expand... Uwe makini tu, kuwe na ofice na uchukue receipt, usije uwawa kimasihara baadae kwa kuitwa mwizi wa simu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,618 Dec 31, 2023 #6 Supu ya kokoto said: Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1. Simu Pasi. Click to expand... Hayo sijui mkuu kwa bajeti yake hana namna.
Supu ya kokoto said: Bila shaka umesahau kumwambia kuwa atapata package ya 2 in 1. Simu Pasi. Click to expand... Hayo sijui mkuu kwa bajeti yake hana namna.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,618 Dec 31, 2023 #7 uttoh2002 said: Uwe makini tu, kuwe na ofice na uchukue receipt, usije uwawa kimasihara baadae kwa kuitwa mwizi wa simu Click to expand... Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga.
uttoh2002 said: Uwe makini tu, kuwe na ofice na uchukue receipt, usije uwawa kimasihara baadae kwa kuitwa mwizi wa simu Click to expand... Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga.
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,361 Reaction score 91,912 Dec 31, 2023 #8 southernboy said: Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar. Click to expand... Mi nahitaji Google pixel 8 ila ninunuliwe na mtu humuhumuโบ
southernboy said: Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar. Click to expand... Mi nahitaji Google pixel 8 ila ninunuliwe na mtu humuhumuโบ
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 37,930 Dec 31, 2023 #9 Half american said: Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga. Click to expand... Hapo sawa
Half american said: Amcheki huyo jamaa atapata kila kitu ana ofisi imekamilika kila idara sio winga. Click to expand... Hapo sawa