PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
Chuo gani hicho ambacho hakina wanawake? je unajua kuwa unaosoma nao ndo wako humu ndani wengine ndiyo hao unaoishi nao huko mtaani kwanini unawogopa?Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
Mkuu unajua wanawake wengi siku hizi wanalalamika kupungua kwa nguvu za kiume kwa wapenzi wao yawezekana kiafya tatzo hamna ila kisaikolojia kujiamini kumepungua mno mpaka hata kutongoza imekuwa shida vijana saiz hawataki shida eti mitandao imerahisha yaani wanatamani hata akimkonyeza tu mwanamke akampe mchezo kwa wanawake wanaojiamni na wenye misimamo siyo rahisi kumpata kwa njia hiiMkuu Daudi1 kuna mwingine huku tena yuko chuo anakaribia kumaliza ila anatafuta mchumba kwenye mtandao
Mkuu unajua wanawake wengi siku hizi wanalalamika kupungua kwa nguvu za kiume kwa wapenzi wao yawezekana kiafya tatzo hamna ila kisaikolojia kujiamini kumepungua mno mpaka hata kutongoza imekuwa shida vijana saiz hawataki shida eti mitandao imerahisha yaani wanatamani hata akimkonyeza tu mwanamke akampe mchezo kwa wanawake wanaojiamni na wenye misimamo siyo rahisi kumpata kwa njia hii