Natafuta girlfriend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta girlfriend

Discussion in 'Love Connect' started by MKANDAHARI, Feb 27, 2012.

 1. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  Mimi ni kijana mtanashati, mtiifu, mpole, na mwenye kujali hisia za mtu. umri wangu ni miaka 24. natafuta rafiki wa kike(girlfriend) na kama ikitokea nikaendana nae kitabia basi awe mke wangu! naishi Dar es salaam maeneo ya ubungo kibangu. sifa za atakae nifaa ni hizi hapa:


  • Awe anajiheshimu
  • awe na malengo kwa maisha ya baadae
  • japo tunapenda pesa ila asiwe mpenda pesa zaidi
  • awe mwaminifu katika mahusiano
  • awe tayari kutambulishwa kwa ndugu jamaa na marafiki na sio "ooh kesho, mara kesho kutwa" nk
  • awe ni mtu anaejua nini maana ya maisha
  • awe na umri kuanzia miaka 20-25

  nb.AWE NA ELIMU YA AINA YOYOTE

  for the one who meets the qualifications above, please PM me!!!
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hizo point kwenye red hapo sijui, uwezekano wa kupata mtu ni mdogo
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  All the best...

  Naongezea hapo... Awe tayari KUPIMA damu....
   
Loading...