stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 892
- Thread starter
- #21
Sh laki moja ya kenya au ya Tanzania? value for money haiendani na unachohitaji mkuu,jipange unune kitu genuine
kuna kitu kingine nashindwa kukielewa, hivi watu mnafikiri jenereta linauzwa mamilioni mangapi??? jenereta kubwa la kuweza kuwasha nyumba nzima bei ya dukani ni sh laki 6 tu. jenereta la kawaida lenye uwezo kama ninaotaka bei dukani ina-range 250 hadi 350. vi-jenereta vidogo saizi ya mwisho bei ni 150 tu hadi 120. sasa why isiwezekana kulipata jenereta hilo la saiz ya kati kwa sh laki moja? au kama pesa haitosh tukaongea tukakutana mahali! watu msipende kuongea kama hamjui bei ya vitu!