Natafuta Gas Mask Respirator

Usifemoyo

Member
Dec 26, 2017
61
55
Wakuu,
Natafuta Gas Mask Respirators zenye uwezo wa kuzuia fumes za toxic gases!

Nimejaribu kutafuta kwenye maduka mbali mbali ya vifaa vya maabara na ujenzi hapa Dar bila mafanikio mara nyingi nakuta masks zile za kuzuia vumbi tu.

Naombeni msaada kwa anayefahamu duka lolote lililopo hapa Dar ambapo naweza kupata aina ya mask niliyoitaja! Au hata kama duka lipo mikoani anisaidie mawasiliano yake niweze kuconfirm kama zipo kabla sijaenda physically kuchukua!

Ninazopata ni za aina kama niliyoambatanisha hapa chini na hizi hazizuii toxic gases
Screenshot_20190620-011709.jpg
 
View attachment 1132121
Zipoooo mkuu
 
Jaribu milenium towers first floor, Julia kama unaelekea maximalipo. Kuna duka linauza safety items
 
Back
Top Bottom