PromiseLand
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 316
- 431
Jamani Wana ukumbi natafuta gari ambayo bado Iko kwenye hali nzuri (IST) bajeti yangu ni 7ml 0795154145
Nakaziaa 📌Oi jaribu na Facebook Marketplace place. Ila kwa hiyo bei nashauri sana tafuta fundi mzuri na uwe na akiba ya angalau 1 Million kwa service nzuri. View attachment 3465531
Kumbe na BONGO 'Market Place' inatumika. Sikua najua.Oi jaribu na Facebook Marketplace place. Ila kwa hiyo bei nashauri sana tafuta fundi mzuri na uwe na akiba ya angalau 1 Million kwa service nzuri. View attachment 3465531
Iko vizuri sana mkuu. Ata mimi nimeanza kuitumia. Sema sio reliable kwa vitu vya electronics na nguo. Maana mtu ana duka nae anaweka tu so haina utofauti.Kumbe na BONGO 'Market Place' inatumika. Sikua najua.
Huku South Africa (Cape Town) inatumika sana. Nimeshanunua
- microwave oven
- Desktop monitor 💻
- Blender
- Asali
- Perfume
Vyote hivo from 'Market Place'