Natafuta gari ya kuendesha kama Uber driver

Mar 26, 2018
10
2
Jamani hii faida kwangu na kwako piakama unagali lolote dogo ambalo lipo kwenye hali inzuri kama , , spacio,carina, r, ractis, ist, vits nkmimi ni dereva wa uber nahitaji tuandikishane mkataba kwa week nikupe 220000/= nikuingizie pesa ni mwaminifu kama utakuwa tayari basi nitafute kupitia 0654960981

Asanteni
 
hii biashara mbona kama sielew yaan laki mbili na elfu ishilin kwa wiki kuna siri gani iliyojificha
 
JAMANI HII FAIDA KWANGU NA KWAKO PIAKAMA UNAGALI LOLOTE DOGO AMBALO LIPO KWENYE HALI INZURI KAMA , , SPACIO,CARINA, R, RACTIS, IST, VITS NKMIMI NI DEREVA WA UBER NAHITAJI TUANDIKISHANE MKATABA KWA WEEK NIKUPE 220000/= NIKUINGIZIE PESA NI MWAMINIFU KAMA UTAKUWA TAYARI BASI NITAFUTE KUPITIA 0654960981
ASANTEN
Mimi gari ninayo ina namba za private,na nimesikia inabidi nibadilishe TRA liwe commercial,sasa hapo ndugu dereva inakueje,natamani tufanye huo mkataba na wewe tatizo ndio hilo,au kama kuna njia mbadala niambie!
 
Sio lazma ubadilishe
 
Utaratibu wa mafuta na service upoje?
 
220,000 ÷ siku 6 = 36,666.666667 ~ 37,000 kwa siku
Mkuu unaweza lipa hiyo hela na gari ikawa nzima miezi 9 kweli!?..Huoni hela ni kubwa sana, gari itapiga safari mpaka inakuja uzwa km kama safari za South ilienda!!...
Hapo hujampa Uber 25% yake, hujatoa mafuta na wewe faida yako!.. Kwa huyu huyu uber mwenye trip hadi za elfu 4,500 utaweza fikisha zaidi ya elfu 60 kwa siku!??..
 
ujaambiwa utoe mchanganuo, unachotakiwa ni kupokea 220,000/=tu per week.
jinsi ya yeye kuipata hiyo pesa yako ni juu yake, kinachotakaiwa gari yako iwe kwenye hali nzuri tu.
Watanzania jaribuni kuwa waelewa basi ndio maana tunapelekeshwa na watawala. !
 
USIWE FALA KUIONA TAMAA YA PESA BILA JUA INAPATIKANA VIPI!!..
Hatupelekeshwi kisa tunauliza sana maswali na kufatilia, tunapelekeshwa sababu ya kutojua masuala yanayotuhusu/hatufatilii!./
Hiyo gari utakapompa kumbuka service juu yako boss!, haya umepokea 220,000/= unajua gharama za plug, filter, tairi, shock ups,AC etc!?.
Au ukimpa awe anafanya service yeye una uhakika gani ataweka spea original kwenye hiyo gari!?. Umeiona 220,000/= kubwa sana eeh!??
Hivi unajua ili aipate atakuwa kaenda umbali gani!? kafanya trip ngapi!?. kaichosha gari kiasi gani!?.

Mpuuzi wewe unakuja dhania nilipompa mchanganuo ni sawa na kumzibia rizki wakati yawezekana huko mbeleni wakashindwana na Boss marejesho!.
Si ajabu hujawahi miliki hata pikipiki ukajionea shida za madereva fala wewe!.
Mpe gari bila chunguza ataipataje hiyo hela then siku anakuletea kwamba kachoka biashara. wakati wa kuiuza gari ndipo utajua nilimaanisha nini
 
Jaman msigombane ni vitu vya kueleweshana jamaa yupo sahihi kuuliza mambo ya service yapoje ila hilo ni makubaliano kati ya dereva na boss
 
Chief ulivyosema 220,000 service ni kwako au kwa boss,tuanzie hapo kwanza
Jaman msigombane ni vitu vya kueleweshana jamaa yupo sahihi kuuliza mambo ya service yapoje ila hilo ni makubaliano kati ya dereva na boss
 
Mimi gari ninayo ina namba za private,na nimesikia inabidi nibadilishe TRA liwe commercial,sasa hapo ndugu dereva inakueje,natamani tufanye huo mkataba na wewe tatizo ndio hilo,au kama kuna njia mbadala niambie!
Kubadili TRA ni Tsh elfu kumi tu. Kishoka labda umpe elfu 30 na kubadili plate no Ts 32K.
 
Yupo sahihi jamani rafiki yangu ana uber kwa siku analetewa 30,000 ambayo kwa week ni 210,000.

Huwa weekend na yeye anaiendesha gari yake maana nayo kaisajili hakosi laki so huyo kaka anaongea ukweli.
 
Suala sio flani kaongea ukweli/uwongo! Suala ni uwazi ktk mfumo mzima wa biashara ambao unapaswa kufahamika na mmiliki wa chombo husika. Ni vyema kukawa na maelezo ya kina na sio pesa kutumika kama kishawishi. Ktk mazingira hayo, mtu anaweza hoji kwamba inaaezekana vp dereva akaclaim analipa kiasi hicho che pesa and yet HANA GARI KWA SASA? Kwamba mmiliki wa gari ya AWALI aliyokuwa nayo HAKUONA UMUHIMU wa kupokea laki 2 na ushee kwa wiki! Lazima kuna namna, kuna kitu niliwahi soma ktk mkataba kama moja ya vitu muhimu, "clear and certain".
 
Back
Top Bottom