Natafuta gari ya hesabu (bolt na uber)

Natafuta gari ya hesabu (bolt na uber)

kgk dsm

New Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Habari za asubuh wana JF

Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala.

Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au 0710 - 491 892.
 
Back
Top Bottom