Natafuta gari nzuri

Natafuta gari nzuri

NATAFUTA GARI — BAJETI MIL. 5.

Habari zenu wakuu,

Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.

Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
  • Toyota Brevis
  • Toyota Altezza
  • Nissan X-Trail

Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.

Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Nenda Instagram utapata hata gari la laki na ishirini ila akili mkichwa!
Kuna moja niliona kapost anasema hairudi reverse labda urudi wewe mwenyewe😀
 
X Trail ipo New Model Number DM..... Inataka 10M
**** Alteza number BRR inataka 4.8M
Zote ziko mwanza ukiwa serious ni simu Moja tu chuma inakufikia ulipo. Zimenyooma engine safi gearbox safi
Sasa si uniDm namba yako ya WhatsApp mimi nikufuate WhatsApp
 
NATAFUTA GARI — BAJETI MIL. 5.

Habari zenu wakuu,

Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.

Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
  • Toyota Brevis
  • Toyota Altezza
  • Nissan X-Trail

Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.

Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Gari zetu zingine ziko kwa Abdul. Muambie akupe moja na wewe utumie!
 
BUMP

NISSAN X-TRAIL NDIO KIPAUMBELE! Bado Natafuta (Brevis/Altezza) - Bajeti TZS 5,500,000.00

KUMBUSHO

Bado sijapata gari sahihi kwenye tangazo langu la awali! Bado niko Serious Buyer na Bajeti ya Shilingi 5,500,000.00 (Milioni Tano) IKO TAYARI

Nahitaji kufanya manunuzi haraka sana wiki hii

KIPAUMBELE CHAGU KIKUU KWA SASA NI:
NISSAN X-TRAIL (Inahitajika kwa haraka zaidi

Toyota Brevis
Toyota Altezza
Sifa Ninazotaka
Gari liwe safi, well-maintained, lisilo na matatizo makubwa ya injini au gearbox, na liwe na hati safi za uhamisho

Ikiwa una Nissan X-Trail safi au gari lingine kati ya hili, ambalo linafaa bajeti yangu (hadi TZS 5. 5M)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom