Natafuta gari ndogo

Why do you expose you mobile number to the public wakati kuna pms! you have to negotiate kwenye PM mkifikana mwafaka ndo mnapeana no. za simu ili kuuziana hiyo gari jamani.
<br />
<br />

Delete msg yako as yeye kadelete wewe ndio unamuanika sasa. Cheers!
 
Mtei,
Nina Corrola AE100
Year of Manufacturing: 1993
Imported in : 2008
Color: Champagne Gold.
Very good condintion.
4.8 Mill au ofa ya karibu mkuu.
 
Natafuta gari ndogo ya kutembelea iwe kwenye hali nzuri, bajeti yangu ni 5mill

Mkuu,
Nina Corrola AE100
CC 1495 (Very Economical)
Year of Manufacture: 1993
Imported and Registered: 2008
Color: Champaigne Gold
Gari safi na haina matatizo yoyote.
4.8 Mill au Ofa ya karibu.

Karibu kwa Test yoyote.
 
Natafuta gari ndogo ya kutembelea iwe kwenye hali nzuri, bajeti yangu ni 5mill

Toyota MarkII Baloon ipo, safi ndio naitumia kwenda ofisini,
Colour - White
Transmission - Manual
Kama uko interested just PM then we talk business.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom