Natafuta gari ndogo

Natafuta gari ndogo

Mtei

Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
29
Reaction score
5
Natafuta gari ndogo ya kutembelea iwe kwenye hali nzuri, bajeti yangu ni 5mill
 
Just any Car?

Nissan?

Toyota?

Subaru?

Mitsubish?

Ford?

Lexus?

Honda?

Hitach?

Hummer?

Bentley?

BMW?

Audi?

Austin?

Cardillac?

Chevrolet?


Kati ya hizo unaitaka ipi?
 
Mostly ni toyota bt any of it ikiwa kwenye hali nzuri
 
km una m 1.5 poa nchek...kuna kastarlet kapyaa
 
Starlet ya mwaka gan pls if u dnt mind pls give me full detail and contact if possible
 
<br />
<br />
oky its 0755522209

Why do you expose you mobile number to the public wakati kuna pms! you have to negotiate kwenye PM mkifikana mwafaka ndo mnapeana no. za simu ili kuuziana hiyo gari jamani.
 
Nina Mazda Demio ya mwaka 2003,
Cc 1300,
ndo naitoa bandarini wikiend hii, ushuru tayari,
namba utasajili mwenyewe,
nipe 7.5mil
 
Ninayo TOYOTA DUET
Fuel consumption- 1 litre gives about 10 to 12km.
Price- 6m negotiable.
PM kama any1 intrsted !
 
aisee ninayo mark 11 baloon safi, mziki -na tv ndani inakula wese 8-10/km. Ukinipa 4m nakuachia niende zangu kusoma.
 
Just any Car?

Nissan?

Toyota?

Subaru?

Mitsubish?

Ford?

Lexus?

Honda?

Hitach?

Hummer?

Bentley?

BMW?

Audi?

Austin?

Cardillac?

Chevrolet?


Kati ya hizo unaitaka ipi?

Gari ndogo inakuwa na vigezo vipi?
 
ninayo spacio new from england mpya kabisa inatoka bandari j4 nahitaji mil 6 tu.
 
@LarryHoover ar u serious?? Au ndio mambo ya kuja kukamatwa na interpol?? BTW unafahamu historia ya LarryHoover, a leader of gangster disciples, a self proclaim reborn mesiah.....alihukumiwa life sentence...isijekuwa unamfuatisha kila kitu?
 
Ninayo Bajaj mpya kabisa haijatembea hata km 10, ila sijui kama nayo ni gari ndogo au ni piki piki!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom