achana nazo zote hizo. nunua Honda Fit. Fanya search kwenye mtandao (goggle - compare Honda Fit, Toyota Vitz, Suzuki Swift. au andika users' review kisha andika hizo gari. ) utajua nani zaidi kwa kila kitu....usifate mkumbo wa kujaa kwa Toyota mitaani