natafuta gari la kununua

mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.

if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
au nitwangie 0713 744144

Dullymo
Mark X, RAV4, Premio na X-Trail gari aina hii unauza kiasi gani?.
 
Kwani Araway story yako ya kutafuta gari iliishaje? Did you get it? Mbona niliku PM hukujibu na hapa sioni kama communication ilikuwa winded up?


______________
 
Toyota chaser Gx 100, 6 cylinder , box body ====3.5 Mil naitoa. Iko full mzuka.
 
Toyota chaser Gx 100, 6 cylinder , box body ====3.5 Mil naitoa. Iko full mzuka.

Mzee inasaidia sana unapoweka picha, au hata details basi kama mwaka, imetembea umbali gani, etc. Inasaidia kumfanya mtu afanye maamuzi haraka na kupunduza mswali maswali.
 
Kwani Araway story yako ya kutafuta gari iliishaje? Did you get it? Mbona niliku PM hukujibu na hapa sioni kama communication ilikuwa winded up?

kaka haikuwa story mkuu na nimefanikiwa kupata corona ndizi safi sana. nashukuru kwa ofa yako! nipo barabarani sasa!!
 
yeh niko na suzuki swift safi sana sport wasiliana nami kwa kitalolo@gmail.com utafurahia kwenye upande wa mafuta kama unapenda kubana matumizi ni kali sana ukituma hiyo email nitakutumia picha tuendelee kuwasiliana ila utaniongezea laki tano mkuu maana naiuza kwa 4.5 na ukichelewa kuna mtu nafanya maongezi na mimi hapa kwa simu atakayewahi
 
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)

wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.

tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!

Mkuu nimekupata. Kama hujapata, plse ni PM ninayo na ni nzuri sana ila naiuza kwa sababu ya changamoto za life. Bei hatutashindwana.
 
[Nauza gari yangu aina ya toyota cresta sx90 saloon closed rangi dak green six s,
ac,radio, vyote vizima inatembea aina tatizo bei m 3.8 tuu. mawasiliano
piga 0755 462 420 au 0712 600 674 nipo dar es salaam.piga muda wowote napatikana. au email piuskita@yahoo.com.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa kuibiwa gari yako

Sasa mkuu mimi nina Starlet Carrat ya mwaka 1998,Gari ina hali nzuri sana,One lady owner in tz, rangi green, plates BBJ, nataka million 5 kamili nina shida

Kama uko interested please piga: 0784 506 003 au 0655 506 003

Mfano wa picha ya gari inayouzwa kwenye attachement
 

Attachments

  • carrat.jpg
    carrat.jpg
    3.5 KB · Views: 97
Dullymo, Mi nataka kitu kama Noah 4WD. Nijulishe basi mkuu. Na nalipa kwa awamu ngapi
 
Back
Top Bottom