natafuta gari la kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta gari la kununua

Discussion in 'Matangazo madogo' started by araway, Sep 18, 2009.

 1. araway

  araway JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)

  wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.

  tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu fanya 5.5 nikuuzie starlet 1998
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
 4. araway

  araway JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  mkuu nashukuru kwa offer yako lakini sitoweza kuitimiza!
   
 5. araway

  araway JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  kaka kwa sasa hali yangu haija tengamaa naogopa kuliacha bandarini, sababu hawa TRA wanaviwango vyao tofauti na bei utakayonunua so im afraid to bear the risk mkuu. bora niangaike na haya haya uku mtaani.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mkuu ongea na kitomai, anayo landrover 110, kwa mil 4.5 tu!!
   
 7. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nina ufumbuzi wa shida yako; Wasiliana nami kwa email mrbwire@yahoo.com

  ________________
  When God Leads you to the edge of a cliff, TRUST Him fully because only one of the two things will happen. Either, He will teach you how to fly OR He will catch you when you fall...
   
 8. araway

  araway JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mh mkuu lile kubwa sana kwangu!
   
 9. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Gari unayotaka ndugu yangu itakuwa na urafiki na mafundi sana
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu mwone Dullymo huyu kijana namwaminia si kama Kitomai ameshindwa kuniuzia kitanda changu.
   
 11. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu usijali kila la heri ukipata nifahamishe na mimi nikisikia la bei yako nitakufahamisha mkuu
   
 12. d

  dullymo Senior Member

  #12
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
  tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
  ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.

  if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
  au nitwangie 0713 744144
   

  Attached Files:

 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu Dullymo hivi starlet huna? Nasikia ukipata ya dizeli ndo nzuri zaidi jaribu kuitafuta hiyo.
   
 14. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #14
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  pole sana kijana kwa kuibiwa gari .gari unayo taka kwa kipindi hiki ni gari ya namna gani 4wheel.saloon staion waon au ipi
   
 15. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yaani hakuna hata mikweche ya bei hiyo iliyotolewa.....mbona viroja!
   
 16. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Araway,

  Siamini kama ile gari yako umeikosa hivi hivi? mbona dereva wako hujampigisha kalinye kalinye?....huruma mkuu wangu imekuponza sana!
   
 17. Robweme

  Robweme Senior Member

  #17
  Sep 18, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mtafute huyu jamaa mwenye hizi namba:0713260120 aliniuzia gari aina ya Honda CVR, ya 1998, sasa ni mwaka mmoja na zaidi sijapata matatizo nayo, ni mtu mwema kabisa.
   
 18. F

  Fisadi.Jones Senior Member

  #18
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alikuuzia 4M?
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tuwasiliane vipi Toyota Yaris utaipenda!!!
   
 20. araway

  araway JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mkuu nimekupata! na nimeipenda so kama ipo ambayo ipo nchini tayari niambie tufanye biashara. nitaweza kuadjust to that amount!
   
Loading...