Ipo hii
Inabidi uwe makini sana. Jamaa zangu walikuwa na vits imechoka, haiuziki. Wakaisafisha na kuipamba body kidogo then wakaenda chukulia mkopo kwenye hivi vikampuni vya kukopesha huku mtaani.Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3