Ndugu wana jamii forum natafuta gali aina ya fuso kwa mkopo .
mwishowe ataletewa ugaliHivi ni gari au GALI?
Hii ndio Jamii FOLUMS bwanaHuu uzi nimefungua nikajikuta naishia kucheka
Huu uzi nimefungua nikajikuta naishia kucheka
Hii ndio Jamii FOLUMS bwana
imagine ukiitwa BHURURU ama hayati JKN aitwe Mwarimu NyeleleHuu uzi nimefungua nikajikuta naishia kucheka
imagine ukiitwa BHURURU ama hayati JKN aitwe Mwarimu Nyelele
Mimi nauza scania 124 360 kwa shilingi 48mil box body. unaweza toa nusu nusu tukakubaliana modarity ya namna ya kulipa
Iko kwenye hali gani? Maongezi ya bei yapo? Na terms za malipo zikoje?
Bora wanaokuwa hawajui na wanaelewa kuwa hawajui na wanataka kujifunza kuliko wasiojua na hawajui kama hawajui na hawataki kujifunzaHaya dada mkuu
sijakusikia vizuri hapo kwenye red umesemaje? hebu rudia tenamwishowe ataletewa ugali
we needs mods wa matamshi katika threads heading maana uozo umezidi,mara gali,mara wazili basi vurugu mechi