natafuta gali aina ya Fuso kwa mkopo.

dah ... halafu unaitwa kazakuku ... will lenders understand by the cover of the book?
 
Mimi nauza scania 124 360 kwa shilingi 48mil box body. unaweza toa nusu nusu tukakubaliana modarity ya namna ya kulipa
 
Mimi nauza scania 124 360 kwa shilingi 48mil box body. unaweza toa nusu nusu tukakubaliana modarity ya namna ya kulipa

Iko kwenye hali gani? Maongezi ya bei yapo? Na terms za malipo zikoje?
 
Duu hilo scania mpango mzima ila lazima uwe na strategy za kupata mizigo na tender za mkoani....kila biashara ina maloloso yake ila ni kukomaa tu hakuna jinsi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom