Natafuta Funds kwa ajili ya KILIMO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Funds kwa ajili ya KILIMO

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ROKY, Jun 15, 2011.

 1. ROKY

  ROKY Senior Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Dear members wa JF,
  Nina mashamba ambayo nataka sana kuyaendeleza, ila tatizo ni funds za kuyaendeleza. Natafuta long term funds / loans / investors (miaka mitano au zaidi) zenye masharti nafuu ili niweze kuyaendeleza mashamba hayo.
  Anyone ambaye anajua ninakoweza kupata funds za namna hiyo please inform me.

  Thanks in advance.
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nenda TIB labda wanaweza kukusaidia
   
 3. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Karibu JF EMPOWERMENT SACCOSS, tuondokana na hili tatizo la kupata chanzo cha kuanzisha au kuendeleza miradi yetu.
   
Loading...